Chagua mpango wako

Anza bure. Panda Pro ukiwa tayari kukuza kazi zako.

Free

0 bure milele
  • ✓Tazama Shorts, filamu na posts zote
  • ✓Messenger, voice notes, picha na video
  • ✓Simu za sauti na video
  • ✓Upload ya video hadi 500MB
  • ✓Groups na Pages
  • —Beji ya Pro
  • —Studio analytics kamili
  • —Bila matangazo
Endelea na Free
MAARUFU

⭐ Pro

  • ✓Kila kitu kilicho kwenye Free
  • ✓Beji ya ⭐ Pro kwenye wasifu na maoni
  • ✓Upload kubwa hadi 20GB (filamu ndefu, HD/4K)
  • ✓Studio analytics kamili na takwimu za kila siku
  • ✓Bila matangazo
  • ✓Kuonekana zaidi kwenye Gundua
  • ✓Msaada wa haraka (WhatsApp)

Maswali

Nalipiaje Pro?

Ukibonyeza "Panda Pro" ombi lako linatumwa, kisha unaelekezwa WhatsApp ya Safank kukamilisha malipo (M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money au kadi). Ukishalipa, Pro inawashwa kwenye akaunti yako.

Naweza kurudi Free?

Ndiyo, wakati wowote. Kazi zako zote zinabaki salama.

Akaunti ya mtoto inaweza kuwa Pro?

Ndiyo, ila mipangilio ya usalama wa mtoto inabaki kama ilivyo.