Help & Support
Timu ya SafankShort iko tayari kukusaidia kuhusu akaunti, kupakia video, Messenger, simu, notifications na ripoti.
Email: jacksonwilsonlubinza@gmail.com · Simu: +255691952000
Maswali ya mara kwa mara
Siwezi kuingia. Hakikisha email na password ni sahihi, au tumia "Endelea na Google".
Video haipakii. Hakikisha una mtandao imara. Video kubwa hupakiwa kwa vipande; usifunge ukurasa mpaka imalizike.
Sipokei notifications. Ruhusu notifications kwenye browser (alama ya kufuli karibu na anwani ya tovuti).
Simu haiunganiki. Ruhusu microphone/camera, tumia Chrome au Edge, na mtandao imara.
Mtu ananisumbua. Fungua profile yake, bonyeza "Zuia" au "Ripoti".
Profile