←Profile
SafankShort · Legal & Safety

Terms of Service

Masharti haya yanaweka kanuni za matumizi ya SafankShort, akaunti, user-generated content, subscriptions, safety, copyright na enforcement.

Imesasishwa: 25 Agosti 2026Toleo: 1.0

1. Kukubali Masharti

Kwa kufungua akaunti, kuingia, kupakia content au kutumia SafankShort, unakubali Terms of Service, Privacy Policy na Community Guidelines.

Wakati wa kujisajili, mtumiaji anatakiwa kuweka tiki ya kukubali nyaraka hizi kabla ya akaunti kuundwa. Ukikataa masharti, usitumie huduma zinazohitaji acceptance.

2. Akaunti na matumizi yanayoruhusiwa

  • Toa taarifa sahihi na usijifanye mtu mwingine.
  • Linda password na taarifa za kuingia.
  • Usitumie akaunti ya mtu mwingine bila ruhusa.
  • Usitumie SafankShort kwa fraud, spam, malware, scraping isiyoruhusiwa au shughuli haramu.
  • Usipakie content ambayo huna haki ya kuisambaza.

3. User-Generated Content (UGC)

Unabaki kuwa na haki ulizonazo kwenye content yako, lakini unapopakia content unaipa SafankShort ruhusa ya kuitumia kwa kiwango kinachohitajika ku-host, kuhifadhi, kusambaza, kuonyesha na kuendesha huduma.

Unathibitisha kuwa una haki na ruhusa zinazohitajika kwa content unayopakia na kwamba haikiuki copyright, privacy, publicity rights, sheria au Community Guidelines.

Muhimu: SafankShort inaweza kuondoa, kuzuia au kupunguza visibility ya content inayokiuka sheria, sera, copyright, usalama wa watumiaji au amri halali.

4. Community, moderation na enforcement

SafankShort ni platform ya user-generated content. Watumiaji lazima wafuate Community Guidelines. Tunaweza kuchunguza reports na kuchukua hatua zinazofaa, ikiwa ni pamoja na kuondoa content, kuzuia features, kusimamisha akaunti au kuifunga kabisa.

Hatua zinaweza kutegemea uzito wa ukiukaji, historia ya akaunti, usalama wa wengine na mahitaji ya kisheria.

5. Publishing ya bure

Watumiaji wenye akaunti wanaweza kupakia picha, video na Shorts bila Pro au Creator account. Hakuna subscription ya lazima kwa ajili ya kupost content.

SafankShort inaweza kuzuia au kuondoa content inayokiuka Community Guidelines, copyright, usalama au sheria zinazotumika.

6. Wallet, coins na rewards

Iwapo coin wallet, rewards, tasks au creator earnings zimewezeshwa, matumizi yake yatafuata rules zinazoonyeshwa ndani ya huduma. Coins/rewards si lazima ziwe pesa taslimu, na haziwezi kuuzwa au kuhamishwa isipokuwa SafankShort imeeleza wazi hivyo.

Fraud, manipulation ya views, automated activity au matumizi ya akaunti nyingi kwa lengo la kupata rewards yanaweza kusababisha kufutwa kwa rewards na hatua dhidi ya akaunti.

8. Kusimamisha au kufuta akaunti

Unaweza kuomba kufuta akaunti yako kupitia Delete Account. SafankShort pia inaweza kusimamisha au kufunga akaunti inapohitajika kwa usalama, ukiukaji wa sera, fraud, abuse au sababu nyingine halali.

9. Upatikanaji wa huduma

Tunajitahidi kuweka SafankShort ipatikane, lakini huduma inaweza kukatizwa kwa maintenance, updates, outages, third-party failures au sababu zilizo nje ya uwezo wetu. Hatuhakikishi kuwa huduma itakuwa bila interruptions au errors wakati wote.

10. Wajibu wa mtumiaji na mipaka ya uwajibikaji

Mtumiaji anawajibika kwa content anayoweka na namna anavyotumia akaunti yake. Kwa kiwango kinachoruhusiwa na sheria, SafankShort haitawajibika kwa hasara inayotokana na matumizi yasiyoruhusiwa ya akaunti, content ya watumiaji wengine, outages za third-party services au matumizi ya huduma kinyume na masharti.

11. Mabadiliko ya Masharti

Tunaweza kusasisha Terms hizi. Tarehe ya mwisho ya marekebisho itaonyeshwa juu ya ukurasa. Mabadiliko makubwa yanaweza kuhitaji acceptance mpya kabla ya kuendelea kutumia features fulani.

12. Mawasiliano

Maswali kuhusu Terms, account, account, publishing au enforcement: safankfilm@gmail.com.